Monday, November 14, 2011

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR, DKT ALI MOHAMED SHEIN INAVYOENDELEA MSHARIKI YA KATI:

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mhe Sheikh Sultan Mohamed Al Qasimi, alipowasili katika makaazi yake Mjini Sharja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa makumbusho, Ali Almarri,wakati alipotembelea makumbusho ya Dr.Sultan Al –Qasimi, Mjini Sharjah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiongozana na Makamo Mkuu wa Chuo cha Sayansi ya Afya, Prof. Hassam Hamdy,(kulia) na (wa pili kushoto) Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi, Meneja Mkuu wa Ofisi ya Mfalme, alipotembela chuo cha Sayansi ya Afya Mjini Sharjah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabishara wenye viwanda, Amed Mohammed Al Midf, alipotembelea kituo cha jumuiya hiyo na kuangalia baadhi ya bidhaa mbali mbali katika kituo hicho mjini Sharjah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia baadhi ya vifaa alipotembelea kuona mambo ya kihistoria wakati alipotembelea makumbusho ya Dr.Sultan Al –Qasimi, mjini Sharjah. Kushoto ni mkurugenzi mkuu wa makumbusho, Ali Almarri.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Makamo Mkuu wa Chuo cha Sayansi ya Afya, Prof. Hassam Hamdy, kushoto, na kulia ni Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi, Meneja Mkuu wa Ofisi ya Mfalme, alipotembelea katika chumba mafunzo ya udakatari Chuoni hapo Mjini Sharjah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo alipotembelea kuona mambo ya kihistoria kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa makumbusho, Ali Almarri, wakati alipotembelea kumbusho la Dr.Sultan Al –Qasimi, Mjini Sharjah. Picha na Ramadhan Othman,ikulu-Zanzibar.

No comments:

Post a Comment