Thursday, January 30, 2014

GET READY...COMING OUT SOON-THIS FEBRUARY.


THIS IS REALLY THE DIFFERENCE. DON'T TRY TO MISS THIS OUT.

ABOUT THE MOVIE:
TITLE: Detective Opodi
STARRING: Furaha Elisifa, Amon Moshi, Caris Komba, Catherine Kilabila, Hashim Kambi.
GENRE/TYPE: Investigative Comedy
RUNNING TIME: Approximately 1 Hour for Part I, 55 Minutes for Part II
SUITABLE FOR: All Ages

CREDITS:
1: STORY-Amon Moshi
2: SCRIPT-Amon Moshi
3:PRODUCER-Caris Komba, Amon Moshi
4:EXECUTIVE PRODUCER-Mashariki Choice, A Peace Films
5:CAMERA- Julius Mahela, Hyper (One Love FX)
6:EDITOR-Julius Mahela, Malumbilo Ngusa
7:FINAL EDITOR: HARRISON KISAKA
8:PRODUCTION-SABAKTANI MULTIMEDIA PRODUCTION
9:LOCATIONS-Hamidu Salum, Caris Komba, Amon Moshi
10:DIRECTOR-Amon Moshi

Noumah saaaaaaaaaaaaana.

Tuesday, December 31, 2013

SCENE ZINGINE BANA, WEWE TAZAMA MWENYEWE TU:

 Set set mambo hayo. Maandalizi kidogo.
 Born DETECTIVE. Haah hahah hahah.
 Ni mwendelezo wa DETECTIVE OPODI I & II, inaitwa BORN DECTIVE.
 Sura mpya tupu, tazama umahiri wao.
 Wacha wee...!
 Kwa location fulani hivi.
 Ma-Directaaaaaaa.
 Wakali sana hawa jamaa katika usimamiaji wa shots.
 Daima FOREVER. (We're BORN DETECTIVE).
 Hatukuwa pekee yetu, tulikuwa wengi sana.
 Show LOVE paleeee.
Karibu tena, welcome back brother SULEIMAN BARAFU.

Monday, December 23, 2013

MAMBO MAPYA KILA KUKICHA-KWENYE SEMINA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA ILIYOANDALIWA NA TCRA JIJINI MWANZA:

KARIBU MWAKA 2014-WELCOME THE YEAR 2014:

Mh. mkuu wa mkoa Mwanza, Eng. Evarist Ndikilo akitoa hotuba katika semina ya mawasiliano na teknolojia iliyoandaliwa na mamlaka ya mawasiliano katika ukumbi wa mikutano wa hapa jijini Mwanza.
Picha ya pamoja na mheshimiwa mkuu wa mkoa na wadau wengine wa mawasiliano waliohudhuria semina hiyo.
 Nikiwa na wawakilishi wenzangu kutoka taasisi moja tuliyokwenda kuiwakilisha.
Shavu shavuni...hahahaha.

Wednesday, August 21, 2013

MEN AT WORK:

 Nikiwa na ONDY G.

 Na MIDO CLASS a.k.a MKUBWA HAMIDU.
 Na JAden (producer wa ngoma kibao @ RockTown Records), Mkubwa Hamidu.
 Ofcoz, you already know what it is...!
 It's another new Project.


Na Camera zinavyonipendaga mimi, aahh Noumer Sana.
GET DOWN FOR IT OUT ON YOUR TV STATIONS......
COMING SOON.....!

MMMhhhh, HII KALI:

Well...sijui kakaangu Mwakyembe ana deal hili na hawa...

Tuesday, August 20, 2013

MY FIRST INTERVIEW ON TV; PALE PALE TING'A NAMBA MOJA KWA VIJANA, EATV-CHANNEL5:

 Ilikuwa ndani ya "HotMix" ya EATV-Channel5, jumatano ya wiki iliyopita August 14 2013.
 Soon after the show, nikiwa na presenter na assistant producer wa "HotMix".
 Na mkali wangu, assistant producer wa show ya 5Sport, Zaka Zakazi-Zakarinho a.ka.a Wenze....!
 Sana tu. Bring it up...!
 Eehhehe, hapo sasa. Na super producer wa show ya "HotMix", Kidjaaah. Najua unamsoma sana huyu.
Yap, one more time for show baby. Get it right.

Thursday, July 25, 2013

KITU KWA DECK-SIKU MZIGO ULIPOANZA KUFANYIWA EDITING:

 Hatua iliyofuata ni mzigo (movie) kuanza kufanyia editing a.k.a kuhaririwa....
 Doctor kwa mbaaali...!
 Yap..
 Kwa karibu zaidi...
Tena na tena.
Mtaalamu, Malu. Bonge la editor. 
 Na Kyala naye alikuwepo.
 Mamaaaa, akiwa analia lia kwa doctor akiomba msaada juu ya mgonjwa wake.
 Kazi kazi, hapa kazi tu.
Ndiyo zeeeetu. 
We RUN ze TOWN.
Ze DressCode hapa...!-Nimewafundisha mabishoo wote kuvaa vizuri/kupendeza.

Monday, July 1, 2013

KIDOGO TU..!

Inamaanisha kwamba....
Dishuaaa dishuaaa....!
Mgeni njoo mwenyeji apone...kwa mara ya kwanza nashuhudia barabara za Dar zinapigwa deki!
Mgeni njoo mwenyeji apone/ateseke.
Barabara za jiji la Dar es salaam zikisafishwa kukaribisha ujio wa Rais Barack Obama. Kaazi kweli kweli.
NIMEKAPENDA HAKA KA MSUKO 
Eti napendaga haka ka kamsuko tu, ka msuko tu. Weweeee..!

Saturday, June 29, 2013

SCENE ZA MWISHO MWISHO....!

Mmmmh....., sijui kama nani vile.
"Nina pesa mingi mpaka natamani jiteka...!"
 Scene ilidoda hii, kila kitu kipo location isipokuwa waigizaji wawili tu, wakasabisha kazi kutofanyika.
Zikabaki stori mpaka wengine wakaanza kusinzia tukiwasubiri subiri labda watatokea, waaapiii. Mabinti bana. Ila ndiyo changamoto na matatizo ya kazi zetu hizi.
 Siku ile ikafa bila ya kufanya chochote, siku iliyofuata hasira tukaweka pembeni kidogo tukaanzia huku.
 Mradi kazi iishe na ilimalizika.
 Na washikaji tukiseti seti mambo. 
Producer MALU akifanya setting za camera. 
 Nikiwa na "Siri ya Mtungi" yangu nikichukua chukua matukio.
Ofisi safiii.


Action.