Monday, November 14, 2011

KIJANA ALIYEFARIKI KUTOKANA NA VURUGU JIJINI MBEYA AZIKWA:

Kelvin enzi za uhai wake.
Akina mama wakimbembeleza mama yake Kelvin Mwalingo wakati wa ibada ya kumuaga.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiangalia jeneza lenye mwili wa Kelvin Mwalingo wakati wa Ibada ya kumuombea kabla ya mazishi yake.
Ndugu na jamaa wa marehemu Kelvin Mwalingo, wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wake wakitoka Hospitali ya Rufaa ya Mbeya jana, wakienda nyumbani kwao Uyole kwa Maziko.Mwalingo inadaiwa aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi wakati wa vurugu hizo.Picha Zote na Dotto Mwaibale.

No comments:

Post a Comment