Friday, June 24, 2011

STEVEN KANUMBA VS RAMSEY NOUAH (PART 6):

Kutoka kushoto ni Ramsey Nouah, Steven Kanumba na mwanadada Simbizo wakiwa mbele ya waandishi wa habari.

Ule mchakato mzima wa upigaji picha wa scene zinzomhusu Ramsey Nouah katika movie mpya ya Steven Kanumba iliyobatizwa jina la 'The Devil Kingdom' kutoka kampuni yake ya Kanumba The Great Film, baada ya kukamilika, Ramsey alipata fursa ya kuongea na waandishi wa habari wa Tanzania na hivi ndivyo ilivyokuwa.



 Waandishi wa habari wakiwa makini wakifuatilia yanayojiri.

 Ramsey akijibu maswali ya waandishi wa habari na kuelezea dhamira yake ya kutaka kuifanya Africa kuwa na AFROWOOD.

 Akielezea namna movie hiyo ilivyomvutia na kushawishika kuja kushoot, kwasababu, takribani miezi minane (8) aligoma kushiriki kwenye movie yoyote kutoka Nigeria na Africa kwa ujumla kutokana na stori kujirudia rudia. Alisifu sana ubunifu uliooneshwa katika movie hiyo inayoitwa 'The Devil Kingdom'.

 Akielezea jinsi alivyoweza kuongea maneno ya kiswahili katika movie hiyo.

 Sasa ni zamu ya Kanumba kuzungumza.

 Wakishikana mikono ishara ya muunganiko wa Nollywood na Bongo Movie (Nigeria na Tanzania).

Wakiagana na waandishi wa habari.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

1 comment:

  1. both of you looks so nice!!but even me i believe that i can right movies and acting as well please look at my selfworth becoz i know one day it will be!!my name is Brighton Dominick and this is my phone number{0759505248 or 0714360302}thanks

    ReplyDelete