Vocabularies:
Misamiati ya maneno na tafsiri zake inavyotumika katika blog hii:
Bustani: Sehemu za starehe na burudani, mfano, Night Club,Bar/Pub,kumbi za sherehe,beach/fukwe,viwanja vya mpira, hoteli, migahawa nk.
Kiwanja: Kumbi za heshima za kufanyia mikutano mikubwa, mfano, AICC,DICC,Bunge, nk.
Kitengo: Mtu mwenye matatizo ya akili, mfano, kichaa, nk.
Mlango: Mbumbumbu,hana alijualo,asiyeelewa dunia inakwenda wapi.
Raia: Mtu yeyote anayeonekana katika blog hii au anayetumia blog hii kwa jambo fulani.
Benchi la ufundi: Mtu au Kikundi cha watu waliowezesha jambo fulani kufanikiwa.
Waka waka: Sherehekea harusi,send off,kipaimara,siku ya kuzaliwa, nk.
King'asti: Mpenzi.