Sunday, June 19, 2011

STEVEN KANUMBA VS RAMSEY NOUAH (PART 5):

Kajala na Ramsey kwenye mazoezi.

 Mwigizaji mpya wa filamu nchini, mwanadada Kajala Massanja anaendelea kukamua kwa ustadi mkubwa na kushika nafasi ya Genevive Nnaji wa Nigeria katika scene hiyo.

 Sana tu mzazi, kamata totoz ya kibongo hiyo.


 Mazoezi ya kukariri script yakiendelea.



 Ramsey akisaidia ku-adirect baadhi ya scene.


 Ujuzi kaka, ujuzi kaka.

 Camera load, Standby.......!!!

Action..!  Makamuzi ya Kanumba katika scene hiyo.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment