Tuesday, July 31, 2012

PICHA MBALIMBALI ZA WANAFUNZI WA SHULE TOFAUTI TOFAUTI WAKIWA WAMEZAGAA KUFUATIA MGOMO WA WALIMU NCHI NZIMA:

Wanafunzi wa shule za msingi Vwawa wakiwa wanapiga vidumu huku wakielekea ofisi ya mkuu wa wilaya ni Baada ya walimu kugoma.
 Wanafunzi wakiwa wanaelekea ofisi ya Mkuu wa wilaya
Wanafanzi wa darasa la saba shule ya msingi Meta wakiendelea kupeana mazoezi ya masomo mbalimbali baada ya waalimu wao kugoma kuingia madarasani
Moja ya wanafunzi wa shule ya msingi Meta baada ya kuona walimu hawajaingia darasani yeye alichukua jukumu la kuwafudnisha wenzake
 Wanafuzi wapo makini kumsikiliza mwanafunzi mwenzao.
 Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi Makuburi, wakijisomea baada ya walimu shuleni hapo kugoma kufundisha jana Julai 30, 2012. Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, ambaye hata hivyo alikataa kutaja jina lake, alisema walimu walifika lakini hawakufanya kazi wakiunga mkono agizo la rais wa chama cha walimu Gratian Mukoba, aliyewataka walimu wote kushiriki mgomo usio na kikomo kuanzai leo Jumatatu.
Kiongozi wa wanafunzi walioandamana jana jijini Dar es Salaam, Christofa Msifuni Msuya wa darasa la saba, shule ya msingi Bwawani, akizungumza kwa niaba ya wenzake kwenye ofisi za Afisa Elimu wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 30, 2012.
 Afisa Elimu Taaluma wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, Juliana Mlay (Kushoto) akitafakari nini cha kuwaambia "Wageni" wake, wanafunzi wa shule za msingi Kijichi na Bwawani za jijini walioandamana umbali wa kilomita 10 hadi ofisini hapo wakilaani kutosoma jana, kufuatia mgomo wa walimu ulioanza nchi nzima jana Julai 30, 2012.

Wanafunzi wa shule za msingi Bwawani na Kijichi, zajijini Dar es Salaam, wakiamnadmana jana kupinga kile walichokiita kuvurfughwa kwa haki ya mtoto ya kupata elimu, na hii ni kufuatia mgomno wa walimu ulioanza jana nchi nzima. Wanafunzi hao waliandamana hadi urefu wa kilomita 10 kutoka shuleni kwao hadi ofisi ya Afisa Elimu wa Manispaa ya Temeke, ziliko shule hizo, jirani na uwanja wa taifa ili kufikisha kilio chao.

 Mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi muungano akiwa nje ya shule akichezea mchanga maana walimu wamegoma.
Wanafunzi wa shule za Makuburi na Mabibo, wakiwa chini ya mwembe, jana asubuhi Jumatatu Julai 30. Walimu wengi hawakuingia madarasani kufundisha jana wakiitikia mwitoi kutoka chama cha walkimu nchini kilichowataka kutofanya kazi jana Jumatatu na kuendelea hadi madai yao kuhusu maslahi yatakaposhughulikiwa na serikali.
Wanafunzi wa shule ya msingi Ipembe, Nyerere, Unyankindi na Singidani katika Manispaa Singida.Picha Zote na Mdau Nathaniel Limu,Khalfan Hamis na Wadau wa Mbeya Yetu

10 comments:

  1. Located near Statesville North Carolina in the town of Hiddenite,
    which is named after the gem found at the
    mine. Jundee brought up US$400 million of gold property alone, while Bronzewing, at this time
    owned by Navigator Strategies Ltd. Data mining is mostly a relatively new term that
    represents the process by that predictive patterns are made from information.

    ReplyDelete
  2. Most of these senior citizens are not comfortable with the use of internet
    or are incapable of visiting the State Comptrollers office and thus for them newspaper listings does the job.
    Purchasing used press will also save you considerable amount of
    money. Newspaper production is known to be the most lucrative and respected industry in the modern age.
    That’s why, while drafting ads for newspapers selling or buying a property, make your
    USP as your headline. A writer in San Francisco can read a story in New York at 3:00 AM (EST) and have it ready to go in his own paper
    for the Midnight (PST) deadline.

    Feel free to surf to my blog :: click here

    ReplyDelete
  3. At that time, I was a very ordinary promoter at a small company, of
    course, I earned not much money which was just enough to support myself.
    Go here to instantly download Yeast Infection No More
    Book What precisely makes Yeast Infection No More Book unique is the degree
    of focus that is given to each and every aspect needed to attain permanent escape from candidiasis linked symptoms.
    The most common injury experienced by accident victims is whiplash.
    Walk ins are always welcome, or patients can obtain same day appointments easily.
    You must be introduced with a display screen with several alternatives one particular of which will
    be safe mode with networking.

    Feel free to surf to my site - meloplasties

    ReplyDelete