Saturday, October 22, 2011

KANUMBA AINGIZA MOVIE MPYA SOKONI, "BECAUSE OF YOU" :

"Inaitwa ''BECAUSE OF YOU'' kutoka KANUMBA THE GREAT FILM, nimeigiza mimi,Rose Ndauka,Thea,Grace Mapunda,nk,Mtunzi ni Rose Ndauka na amekamua vilivyo mpaka nikahisi naigiza na msanii wa nje na si Rose niliyemzoea.......BECAUSE OF YOU.....kama kawaida yangu kubadilika ukitazama movie hii utaona mabadiliko sana mojawapo ni hakuna scene ndefu ndefu za kupoteza mda yaani kifupi hakuna scene inayokaa zaidi ya dakika moja na zote zina speed,hakuna uongeaji mwingi kwa characters wameongea kidogo tu ila vitendo kwa sana.Pata nakala yako original bila kuazima au kukodisha". Alisema mwigizaji huyo, Steven Charles Kanumba.

Angalia Cover hiyo kutoka kwa braz Raque wa I-View Media.

No comments:

Post a Comment