Saturday, October 22, 2011

BAADA YA KUACHANA NA JIMMY IKE NA KUISHI SINGLE MUDA MREFU HATIMAYE RITA DOMINIC AZAWADIWA TUNZO:

Msanii wa Nollywood Rita Dominic amepewa tunzo ya ''Nollywood best single actress'', hilo limetokana na yeye kuwa na umri wa miaka 37 lakini hana mume wala mtoto na ni muda mrefu umepita toka aishi maisha hayo japo alishadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Jimmy Ike.

Rita akiwa na tunzo yake.
Mwenyewe anasema yuko poa tu na life hilo,mastaa wengi tu hata hapa bongo hupenda kuishi hivi au hufikia wakati wakaamua tu kuzaa basi ila suala la ndoa hawataki kabisa kulisikia kwasababu ambazo ipo siku nitazizungumzia hapa.

No comments:

Post a Comment