Thursday, May 24, 2012

JUST IN: MBUNGE WA JIMBO LA UBUNGE (CHADEMA), MH.JOHN MNYIKA ASHINDA KESI YA UCHAGUZI ILIYOFUNGULIWA DHIDI YAKE:


Mbunge wa Jimbo la Ubungo(CHADEMA),John Mnyika.
 
Habari zilizotufikia muda si mrefu zinasema mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika (Chadema)  amemshinda tena Hawa Ng'humbi (CCM) baada ya Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kutoa hukumu  kuwa ushindi wa Mbunge Mnyika  uliofanyika Oktoba 31, 2010 ulikuwa wa halali.

No comments:

Post a Comment