Monday, October 24, 2011

MTOTO AKISAIDIWA KUWEKEWA SAWA BIDHAA ALIZOBEBA KWENYE BAISKELI:

Mkazi wa Dar es Salaam akimsaidia mtoto kuweka sawa bidhaa alizobeba kwenye baiskeli. Kumekuwa na tatizo sugu la watoto kutumikishwa au kufanywa vibarua licha ya Serikali na mashirika binafsi kujitahidi kulitatua.

No comments:

Post a Comment