Wednesday, May 25, 2011

MAJAMBAZI YATEKA MAGARI MLIMA KITONGA :

Sehemu ya mlima Kitonga katika picha.

Habari toka Iringa zinasema kuwa usiku wa manane wa kuamkia leo kundi kubwa la majambazi wakiwa na silaha walifunga barabara kuu ya eneo la mlima Kitonga na kuteka magari zaidi ya ishirini (20).

Habari zinasema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa nane na kudumu kwa zaidi ya saa moja baada ya baadhi ya madereva kupiga simu kituo cha polisi Iringa mjini ambapo walituma askari polisi wa kituo cha Ilula ambao walifika kwa wakati kunusuru usalama wa madereva waliotekwa.

Soma zaidi Bonyeza Hapa
(Michuzi Blog)
 
Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.


2 comments:

  1. Undeniably believe that which you said. Your favorite justification
    appeared to be on the net the simplest thing to be aware of.
    I say to you, I definitely get irked while people think about worries that they plainly do not know about.
    You managed to hit the nail upon the top as well
    as defined out the whole thing without having side effect , people could take
    a signal. Will likely be back to get more. Thanks

    Here is my webpage best cellulite treatment

    ReplyDelete
  2. Mount Braddock rosacea treatment

    My site: rosacea doctor Forrest

    ReplyDelete