Saturday, September 1, 2012

WASANII WAIGIZAJI WA BONGO MOVIE WALIVYOPAGAWISHA JUKWAA LA FIESTA MUSOMA HAPO JANA:

Ray akipaa kama ndege kutaka kuonesha uwezo wa kulisakata sebene.
Moto lazima uwake hapa.
JB, tumbo lote lile lilikwisha ilipokuja swala la yeye kunengua, ni balaaa.
Nani zaidi kwa mauno kati ya Steve Nyerere na Aunty Ezekiel.
Si mchezo mazee, uwezi amini kama ni mzito huyu jamaa. Mzuka umepanda mpaka bhhaaaaassssiiii.
Nyomi la watu.
Shabiki aliposhindwa kujizuia akaamua kumwaga radhi kwa mauno.
Bishoo, Sharobaro, Bob Junior na madensa wake.
Nimeipenda hii ya Mwasiti alipomkatia mauno shabiki wake.
TMK na bibi Cheka
Mashabiki.

No comments:

Post a Comment