Saturday, September 1, 2012

BAADA YA KUZUNGUKA KOOOTE, KESHO NI ZAMU YA WATU WA MWANZA:

Masikani flani na washikaji wa hapa jiji la miamba.
Mbwiga wa Mbwiguke aki-shoo luv na dereva wa bus.
Maeneo ya Tanganyika Bus stand, mbwiga akiwa na jamaa.
DJ Fetty na mashabiki, Tanganyika bus stand.
Mafundi wa Clouds Tv wakiwa ndani ya mobile Tv station bus.
Yap, ndio hili hapa sasa limepaki katika hoteli ya Monarch. Bhaaaaasssi.

No comments:

Post a Comment