Friday, August 31, 2012

VITUKO VYA FACEBOOK:

Hapo vipi..!!!
Ama kweli dunia ina mambo.... Mtoto na mama mzazi waishi kama mume na mke kwa muda wa miaka 10. Hapa sasa ndiyo siku ya arobaini yao, kitu kwa pilato.
Sina uhakika kama vijana hawa wanamtishia maisha askari polisi au ndiyo shangwe tu za Fiesta 2012, Bhhaaaasi.
Mziki mtamu lakini njaa ikiuma jee, msosi ni mtamu zaidi.

Mjaasiri haachi asili.

No comments:

Post a Comment