Monday, September 10, 2012

OFFICIAL DJ WA CHRIS BROWN, DJ BABEY DREW, ALIVYOPAGAWISHA WADAU WA MUZIKI, SAVANNAH LOUNGE-DAR ES SALAAM:


September 8 2012 ndio Official Dj wa Chris Brown, DJ Babeydrew, alifanya mixng za kutosha baada ya kukubali mwaliko wa kupiga kwenye party liyofanyika pande za Savannah Lounge - Quality Centre Building, hizo hapo chini ni baadhi ya picha za hiyo party ambayo kichwa kimoja kilichajiwa elfu 25 kuingia.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment