Wednesday, April 11, 2012

JUACALI, NATURE, NGWAIR NA FID Q WAFUNIKA KWENYE MKESHA WA PASAKA-DAR LIVE:


Fid Q akikamua vilivyo jukwaani na mashairi yake.

 Juacali akiwapa burudani mashabiki waliofurika ndani ya Ukumbi wa Dar Live siku ya Pasaka.

  Ngwea nae hakucheza mbali.

  Juma Nature akionyesha vitu vyake stejini.
 Muller kutoka kundi la "Wanaume Halisi" akifanya vitu vyake stejini.
 Sehemu ya umati wa mashabiki waliohudhuria shoo hiyo.
Watoto nao wakijiachia kwa raha zao.
Msanii Juacali kutoka nchini Kenya, Juma Nature, Fid Q, Albert Mangwair na wengineo usiku wa Pasaka waliwarusha vilivyo wapenzi wa burudani katika Tamasha la Pasaka  Spesho ndani ya Ukumbi wa maraha wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment