Wednesday, April 11, 2012

MAMA MZAZI WA KANUMBA, BI. FLORA MGOA, AKIUAGA MWILI WA MAREHEMU MWANAE:

Mwili wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Steven Kanumba ukiwa katika sanduku wakati ukiagwa kwenye Viwanja vya Leaders' Club, Kinondoni, Dar es Salaam.

Mama Mzazi wa marehemu Steven Kanumba Bi. Flora Mgoa akiuaga mwili wa mwanaye kwa mara ya mwisho kabla ya kuzikwa rasmi katika makaburi ya Kinondoni Leo (Jana) Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment