Wednesday, April 11, 2012

WEMA SEPETU;MIONGONI MWA WATU WALIOZIMIA KATIKA MSIBA WA KANUMBA:

Wema Sepetu akiwa amebebwa na Wadau mbalimbali baada ya kuzimia muda mfupi baada ya kuona jeneza lilombeba steven kanumba likiingia viwanja vya leaders club jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment