Sunday, March 4, 2012

WOMEN'S CELEBRATIONS YAFANA NDANI YA SERENA HOTEL:

Muandaaji wa Sherehe ya siku ya Mwanamke yenye mlengo wa kuadhimisha siku ya wanawake Duniani,Shamim Mwasha akizungumza machache wakati wa hafla hiyo iliyofana kwa kiasi kikubwa usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment