Sunday, February 5, 2012

IN THE MAKING OF 'RESPECT OF NYERERE', FILAMU MPYA YA STEVE NYERERE:

Kijana mkali katika tasinia ya filamu nchini Tanzania Steven 'Nyerere' Mengere anakuja na mzigo mpya unaoitwa Respect Of Nyerere, ni story inayozungumzia maisha ya mwalimu Nyerere, na hapa wakiwa na mama Maria Nyerere wakipata mawaidha kabla ya kuanza shooting uko Butiama.
 Wakiendelea kupata mawili machache yaliyokuwa yakifanywa na Mwalimu Nyerere enzi za uhai wake.
 Picha ya kumbukumbu pamoja na mama Maria Nyerere.
 Hapa wakiwa katika kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 Kazi imeanza!
 Cheki mwenyewe kijana 'alivyokuwa na njaa'.


 
 Rechel na Davina (Kulia).
 Vijana wakiwa kazini kuhakikisha kuwa hawakosei wanachokifanya maana mtu wanayemuigiza alikuwa ni mtu mkubwa sana kataka nchi hii.
 Nyerere akiwa na Ally Yakuti mwandishi mkubwa script hapa nchini Tanzania.
 Hapa Mwalimu Nyerere akiwa na waanndishi wa habari shambani kwake.

 Mainda pamoja na Saguda Gorge, hawa ndio maproduction manager wa kampuni ya Nyerere the Power.
 Hapa Mwalimu Nyerere akiwa anacheza bao.
 Mainda akiwa kazini kama kawaida.
 Steve Nyerere katika pozi.
 Ally Yakuti, Mwandishi bora wa Script.
 On Set.
 Mambo yakipamba moto.
Nyerere akihojiwa na mwandishi wa habari bwana Juma Chikoka (Chopa Mchopanga) akifanya vitu vyake.

No comments:

Post a Comment