Sunday, March 4, 2012

AJALI MBAYA BARABARA YA MBEYA-TUNDUMA:


 
 
 
 
 
Ajali mbaya imetokea usiku huu barabara ya kuelekea tunduma eneo la iwambi kati ya gari aina ya toyota hilux na daladala aina ya toyota hiace mtu mmoja amefariki ambaye alikua dereva wa gari pick up toyota hilux na majeruhi wanne waliokuwa kwenye dala dala hilo.

No comments:

Post a Comment