Wednesday, February 29, 2012

BYSER BABY a.k.a MR BLUE ANATARJIA KUWA BABA VERY SOOOOON:

Ni Baada ya zile story zilizovuma na hatimae Byser mwenyewe kukubali kua anategemea kupata mtoto na mpenzi wake wa zamani saaana ambae anajulikana kama Wahda Mohamed....Sasa Nyota njema imeshaanza kuonekana ambapo mwanadada huyo tayari ameshaanza kuvaa nguo kubwaaaaaa kama unavyoona katika picha...Inavyosemekana muda si mrefu Blu a.k.a Byser ataanza kuitwa baba. Hongera sana Byser Baby.

No comments:

Post a Comment