Wednesday, February 29, 2012

RAPA JA RULE ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA AKIWA JELA:

Ja Rule alizaliwa mwaka 1976 na ni mmoja kati ya wanamuziki ambao wameleta mabadilioko makubwa duniani na kutokea kupendwa sana kutokana na ngoma alizowahi kuachia na kushika chart mbali mbali na tunzo kibao ulimwenguni ila kwa sasa rapper JA RULE anasherekea siku yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 36 akiwa jela ambapo alihukumiwa miezi 18 kwakosa la kukutwa na bunduki kinyume na sheria.

No comments:

Post a Comment