VITIMBI: KIFO NOMA....!!
KIFO NOMA.....Jambazi lilivamia familia 1 na kutaka kuwaua,kabla halijatimiza azma hiyo likataka kujuwa majina yao;
JAMBAZI: Wee mwanamke unaitwa nani?
MWANAMKE: Naitwa MARIAMJAMBAZI: Wewe umesalimika kwasababu una jina kama la mama yangu.
JAMBAZI: Eeenhe we mwanaume unaitwa nani?
MWANAUME: Naitwa SAID ila kazin wananiita MARIAM............
No comments:
Post a Comment