Wednesday, January 25, 2012

VITIMBI:

This is so funny: "Bibi mmoja, wakati watu wanagombania mabasi posta, yeye akaingia kwenye basi akapata siti kiulainiiii, basi akaanza kulia! Konda akaja "Bibi vipi mbona unalia?" Bibi: "mjukuu wangu, toka nihamie mbagala miaka 25 sasa ndio kwanza leo nimeweza kupata siti!"
Konda: "hayaa, nyanyuka kwenye kiti cha dereva bibi!"

No comments:

Post a Comment