Wednesday, January 25, 2012

MKUU WA WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA, BETTY MKWASA, AKIMPA CHAKULA MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI NGUJI:

Mkuu wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, Betty Mkwasa akimpa chakula moja wa wanafunzi wa shule ya msingi Nguji alipofanya ziara shuleni hapo.Watoto wamekuwa wakipatiwa chakula cha mchana shuleni hapo kila siku ili kuwawezesha wawe wasikivu darasani.

No comments:

Post a Comment