Wednesday, January 25, 2012

SUPER D BOXING COACH AWANG'ARISHA MAKOCHA WENZIE NCHINI BAADA YA KUHITIMU MAFUNZO YA KIMATAIFA:

Baadhi ya makocha wa mchezo wa ngumi  wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa vyeti vyao wakati wa mafunzo ya kimataifa ya chezo huo yaliyomalizika Kibaha Mkoa wa Pwani Jana huku wakiwa wameng'alishwa na flana zilizotolewa na SUPER D BOXING COACH kama zawadi kwa makocha hao nchini.
Mkufunzi Mkuu wa Makocha wa ngumi toka Chama cha Mchezo wa Ngumi za Ridhaa Duniani ( AIBA) Joseph Diouf, akimkabidhi cheti cha kufuzu ukocha wa mchezo wa ngumi Kimataifa , Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa ufungaji wa mafunzi hayo yaliyofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani katikati  ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini Makore Mashaga na kushoto ni Kocha wa Timu ya Polisi Mohamedi Hashimu.
Baadhi ya Makocha wa mchezo wa ngumi wakiwa katika picha ya  pamoja na vyeti vyao baada ya kuitimu mafunzo ya kimataifa ya mchezo huo yaliyokuwa yakifanyika Kibaha Mkuza Mkoa wa Pwani. Picha na superdboxingcoach.

No comments:

Post a Comment