Friday, November 18, 2011

HAPA PIA NI TANZANIA TENA DAR ES SALAAM a.k.a BONGO:

Katika hali kama hii unawea ukapata wakati mgumu kuelewa lawama hapa zielekezwe wapi. Je ni kwa serikali ya mtaa ambayo imeshindwa kupata njia mmbadala ya wananchi kutupa taka, au ni kwa wananchi ambao wamekuwa wazembe wa kufikiri namna ya kukabiliana na tatizo hili? Hapa ni Ubungo Kisiwani (Maziwa) Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment