Wednesday, November 16, 2011

BABA HAJI AWA RAIS - CHUO CHA SANAA BAGAMOYO:

Haji Adam
MSANII nyota katika tasnia ya filamu hapa Bongo Haji Adam ‘Baba Haji’ amechaguliwa kuongoza
serikali ya wanafunzi wa chuo cha Sanaa Bagamoyo ambacho kwa sasa kinajulikana kama Taasisi ya
Sanaa Bagamoyo (TASUBA) ambako anasomea masomo ya Drama and stage technology kwa miaka
mitatu.
(more, Filamucentral…)

No comments:

Post a Comment