Tuesday, August 30, 2011

SERIKALI YAMWITA BALOZI WA LIBYA NCHINI BAADA YA BALOZI HUYO KUBADILISHA BENDERA YA NCHI HIYO BILA YA KUFUATA TARATIBU:

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe, akizungumza na Balozi wa Libya nchini, Prof. Ahmed El Ash'hab baada ya Balozi huyo kuitwa Wizarani,Dar es Salaam jana.kufuatia Ubalozi huo kubadilisha Bendera ya nchi hiyo bila kufuata taratibu.

No comments:

Post a Comment