*Ticket zimeanza kuuzwa tangu tarehe 14 March 2012.*
*Shear illusions (Mlimani city)*Kikis Fashion*Novel idea-steers(City Center)*Zizou Fashions pale Victoria.
Really..!! Super excited by a super deal, 1st Ever Exclusive Bongo Music Live Concert hyped by ze Ol tym Platnum's-Diamond a.k.a Almasi. 'Party' hii ina-intend Ku-Roll back the time with old timers music fans na kutukumbusha the likes of what Michael Jackson had been using to perform and a little bit of Usher Raymond on the stage, hope u kno warra min out there bros n cstars, (Kama vile watu toka juu na kushushwa kwa stage kwa Rope Rollers, na vituko vingine vingi ambavyo vimewahi kufanywa na Usher na Jackos enzi zao). Hey, u kno wot..? Don plan to miss it, it's a must watch concert it's gon be classy and elegant, yani mambo ya kishua tu siku hiyo.Mambo ya table tu, hakuna kusimama wala kusukumwa, yani diamond atatukatia mauno for a full 90 minutes, none stop.Kutakuwa na dance floor kwa watakaopenda kucheza na Diamond.Kama unataka kukaa na washikaji zako, table ni za watu nane nane,ticket ni 50,000/= per person kwa hiyo kununua meza nzima ni laki nne (4) tu.Problem is, hii concert ni very very very exclusive. So ticket zikiisha ndo basiiiiiii.
*Mpango mzima utadondoshwa pande za Mlimani City, 30th march 2012 RED CARPET LA UKWEEEE, Kwa mliokwenda Miss Tanzania mwaka jana, yaani mambo yatakuwa dezaini hiyooo..
*DressCode, Usijali: Wee Lipukaaaaaaa tu, ng'aa baby, shine kinoma noma, Chapisha baaaabuuu.
No comments:
Post a Comment