Tuesday, August 30, 2011

CCM YAMTEUA RASMI DKT DALAY PETER KAFUMU KUWA MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA IGUNGA:


Dr. Dalay Peter Kafumu.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari jana, katika Offisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM mjini Dar es Salaam, kutangaza mgombea wa jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM. Kushoto ni mlezi wa mkoa wa Tabora, Katibu wa NEC,Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba.

No comments:

Post a Comment