Tuesday, August 16, 2011

PARAPANDA WAPANDA JUKWAANI SWEDEN

Baadhi ya wasanii wa Parapanda theatre wakifanya rehearsal kabla ya kupanda jukwaa hapo kesho saa 11.30 kwenye tamasha la Antigone linalofanyika nje ya ukumbi wa sanaa wa Gothernburg jijini Gothernburg, Sweden.
 
Mwongozaji wa Parapanda, Mgunga, akijadili suala la kiufundi na Frank Samatwa wakati wa matayarisho ya steji hiyo.

No comments:

Post a Comment