Tuesday, August 16, 2011

MJUMBE WA NYUMBA KUMI AKITIMIZA WAJIBU WAKE:

Mjumbe wa nyumba kumi Sinza B, Ruth Manfred(71) akiandika jina na saini  yake kwenye karatasi ambalo wajumbe walihudhuria kusuluhisha fumanizi, hivyo, waliandika majina yao na kutia saini kumaliza mzozo. Kushoto ni mmoja wa wajumbe hao akimmulikia  kwa tochi ya simu.

No comments:

Post a Comment