Sunday, September 4, 2011

NI ROSE ALBERT; MSHINDI WA VODACOM MISS TALENT 2011:

Mrembo Rose Albert akionesha kipaji chake katika shindano la kumtafuta Vodacom miss talent 2011 usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya Giraffe Ocean View jijini Dar es salaam. Rose alifanikiwa kunyakuwa taji hilo.
Majaji w shindano hilo, kutoka kushoto ni Jackline Wolper, Rachel Sinbald na Bosco Majaliwa.
Baadhi ya warembo washiriki.
Warembo tano bora wa shindano hilo, Rose akiwa katikati.
Vodacom Miss Talent 2011, Rose Albert, akiwapungia mkono watazamaji mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa shindano hilo.

No comments:

Post a Comment