Tuesday, August 16, 2011

MCHEZA KIKAPU DWIGHT DAVID HOWARD ATEMBELEA MONDULI, ATOA MSAADA WA TSH.MIL 90 KWA SHULE YA SECONDARY YA KIPOK:

Mbunge wa jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowasa, akimpokea mchezaji wa mpira kikapu toka nchini marekani ambye pia ni mkurugenzi wa taasisi ya D12 Foundation, Dwight David Havard, alipowasili jimboni humo.
 
Dwight Davis Havard akikabidhi mfano wa hundi ya yenye thamani ya Tsh Mil 90 kwa mkuu wa shule ya sekondari ya Kipok, Felister Lukumay.Msaada huo umelenga kusaidia ujenzi wa mabweni katika shule hiyo.
Howard akiwa na wanafunzi wa shule hiyo ya wasichana ya Kipok alipofika na kumwaga na mamilioni ya pesa kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya shule hiyo.
Akiwa na Raia.

2 comments:

  1. hii ni siasa chafu ya lowasa kutaka kujinadi ili awe msafi ok tope ni tope tu ukilitia maji na sabuni ni uchafu tu.

    ReplyDelete
  2. Wanasema huwezi kujisafisha kwa maji taka aaaahhh, huyoooooooo.

    ReplyDelete