Bafana Bafana Kuivaa Taifa Stars Mei 14 mwaka huu
Timu ya taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana' inatarajia kuwasili nchini mei 12 mwaka huu kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itakayofanyika mei 14 mwaka huu kwenye uwanja wa taifa - Dar es salaam. Kwa habari zaidi Bonyeza Hapa (TFF Blog)
No comments:
Post a Comment