Wakaazi wa mji mkongwe - Zanzibar wakiangalia paa la nyumba lililoporomoka kutoka kwenye moja ya nyumba hizo kongwe za maeneo hayo.
Wenyeji na wapita njia wa maeneo hayo wakiendelea kushangaa kile kilichotokea huku baadhi yao wakitafuta pakukimbilia kufuatia kishindo kilichotokana na kushuka kwa paa la nyumba hiyo, hata hivyo, hakukuwa na majeruhi yoyote kwa taarifa za awali kutoka kwenye tukio hilo.
No comments:
Post a Comment