Kaimu mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mecky Sadiki (Katikati) akiwa na baadhi ya viongozi wa wilaya ya ilala jukwaa kuu wakati akipokea maandamano ya wafanyakazi katika sherehe hizo - Dar es salaam.
Askari wa jeshi la magereza wakiongoza maandamano hayo kuelekea ndani ya viwanja vya mnazi mmoja - Dar es salaam.
Maandamano yakiendelea kuelekea viwanja vya mnazi mmoja - Dar es salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahotubia wafanyakazi wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani mei mosi iliyofanyika kitaifa katika uwanja wa michezo wa jamhuri - Morogoro.
Kwa picha na habari zaidi, Bonyeza hapa.
No comments:
Post a Comment