Wednesday, May 29, 2013

MOVIE MAKING PHOTOS featuring MZEE HASHIM KAMBI:

 Tulipokwenda kumpokea mzee Hashim Kambi. Ilikuwa mida ya night kali sana.
 Na Dee Classic (Kulia), producer mkali wa muziki wa Bongo Flava anayewania tunzo ya Mtayarishaji (Producer) bora chipukizi.
Sana tu.
 Na Kyala, pamoja.
 Maeneo ya Club The Kiss tukicheki msosi.
 Msosi msosi msosi.
 Akibadilishana mawazo na jamaa. Watu walifurahi sana kumwona mzee Kambi maeneo yale ingawa ilikuwa ni zaidi ya saa nane usiku.
 Comedy kidogo.
 Tukitoka Club the Kiss
 Yaap.
 
 Tushafungasha msosi na sasa ni safari ya kuelekea hotelini.
 Tukiwa kwa ndinga iliyokuwa ikitusubiri.

 Na D-Classic.
 Tumefika hotelini.


 Hotelini kwa nje.
 Mzee akifurahi baada ya kumwona mwigizaji nguli wa Bongo Movie. "Nilikiwa nakuona tu kwenye TV leo tumeonana live live hahahahahaha.....nimefurahi sana. Karibu sana mzee". Alisema mzee huyo askari pindi alipokutana na mzee Kambi usiku ule.
 Ndani ya hoteli.
 Tukimkabidhi Script usiku ule ule.
 Maelekezo kutoka kwa Director Kyala yalianza usiku ule ule.

 Baada ya hapo tulianza safari ya kurudi geto.
 Geto geto geto.
Ikabidi D-Class ashushie na maji kwanza kabla ya kulala maana shughuli ilikuwa ndeeefu.

4 comments:

  1. Ze DressCode.......nimekubali mkali-man!!

    ReplyDelete
  2. Sana tu wanyamaaaaaaa. Shaffy na mshikaji hapo juu.

    ReplyDelete
  3. Hiya! I simply would like to give an enormous thumbs up for the good info you will have here on this post.

    I will likely be coming back to your blog for more soon.


    Here is my website - google cesar chavez

    ReplyDelete