Tuesday, June 4, 2013

THE END OF THE BEGINNING; COVER ZA MOVIE ILIYOKWISHA:

Hakika MWANZO NI MGUMU lakini hakuna MWANZO husio na MWISHO, kwa maana, kila chenye MWANZO hakikosi kuwa na MWISHO, na huu ndiyo MWISHO wa MWANZO wetu (THE END OF THE BEGINNING). Inaitwa  ''JUST OPPORTUNITY'',  movie ya kwanza kukamilika, akiwa ameshirikishwa mwigizaji nguli wa Bongo Movie, mzee Hashim Kambi na waigizaji wengine kutoka Mwanza, movie inasambazwa na PILI PILI ENTERTAINMENT, itaingia sokoni muda si mrefu sana. STAY TUNED.
 Poster.
 Poster.
 Cover Part I.
Cover Part II.

3 comments:

  1. Dogo kumbe ulikuwa serious kwenye Moves,
    Okey keep it up!

    Usisahau kunopatia hiyo!

    ReplyDelete
  2. I know ur coming super star its not surprise for me.Keep it up!!!!!
    De Mgomi

    ReplyDelete
  3. tunaisubiria kwa hamu sana wadau sisi

    ReplyDelete