Wednesday, October 3, 2012

DAAAH...!! MOTO HUU SIO MCHEZO NI BALAA:

Basi la Dar Express lilivyokuwa likiwaka moto.


Basi la  Dar Express limepata ajali ya kuungua moto leo asubuhi katika njia panda ya Dar, Arusha, Tanga (Segera) hakuna mtu aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha. Katika ajali hiyo mizigo yote iliteketea kwa moto huo ambapo abiria wengi waliokuwamo kwenye gari hilo walikuwa ni wanafuzi.

NA HII NI ILE AJALI YA MBEYA:
MAMIA YA WATU WALIOFIKA KUSHUHUDIA AJALI HIYO MBALIZI.
 WATU WAKIWA WAMEONGEZEKA KUSHUHUDIA TUKIO HILI LA AJALI.
  HAYA NI MABAKI YA GARI HILI AMBALO NALO LILIUNGUA LOTE.
HIVI NDIVYO GARI HILI LILIVYO PINDUKA NA KUWAKA MOTO BAADA YA AJALI
 
 HII NI GARI NYENGINE AMBAYO PIA ILIWAKA MOTO BAADA YA KUGONGANA .
 HIVI NDIVYO HILI GARI LILIVYO UNGUA MOTO BAADA YA AJALI.
FIRE WAKIWA WAMEWAHI ENEO LA TUKIO KWA AJILI YA KUZIMA MOTO HUO.
 ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI WAKIWA WAMEFIKA ENEO LA TUKIO AMBAPO MAGARI HAYO YAMESABABISHA VIFO VYA WATU KUMI.
MKUU WA MKOA WA MBEYA ALIYE VAA SUTI YA BLUE MH. ABASS KANDORO AKIWA ENEO LA AJALI.PICHA ZOTE NA MDAU WA MBEYA YETU

No comments:

Post a Comment