Wednesday, August 22, 2012

WAREMBO WAWILI WA KENYA, MARYA NA AVRIL KUPERFORM DAR JUMAPILI HII, NI KATIKA EXTREME BASH @ CLUB BILLICANAS:

Mrembo "Mtamu" MARYA.

Avril na Marya ambao ni mastaa wa hit song ya ‘Chokoza’ wamekubali mwaliko wa kulimiki stage club Billicanas jumapili hii August 26 2012 kwenye Extreem Bash na itakua ni mara yao ya pili kuja kufanya show pamoja baada ya hiyo hit single ya ‘chokoza’.
Marya.
"Mtamu" mwingine AVRIL.

No comments:

Post a Comment