Tuesday, July 31, 2012

RJ COMPANY PRESENTS 'THE GLORY OF RAMADAN', ON STORES ON AUGUST 6:

Mzigo uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na wadau wa tasnia ya movie bongo sasa unaingia mtaani tarehe sita mwezi ujao ni bonge la movie na wala si yakuikosa maana imejaa mafunzo ya kutosha kuhusu mwezi mtukufu wa Ramadhan.
 Chuchu Hans na Batuli wamefanya makubwa ndani ya mzigo huo wa The Glory of Ramadhan.
Dullah wa Planet Bongo akiwa on set naye kafanya makubwa sana wala nisiseme sana mtajionea wenyewe wadau wangu.
 Kazi ikifanyika.
Vijana wakiwa makini na script kabla ya scene kuanza kushutiwa.
Batuli(Neshi).
Mmmmmmmm ni hatari sana futari drafti.
On Set.
 Hii ni moja ya filamu bora ya dini ambayo itatikisa sana sokoni.
 On set
Tukiendelea na kazi.......

No comments:

Post a Comment