Thursday, August 25, 2011

SIMBA SC YATINGA BUNGENI LEO NA NGOME YAO YA JAMII:

Wachezaji wa timu ya Simba Sc wakiwa bungeni Dodoma leo na ngao yao ya jamii waliyoipata baada ya kuifunga Yanga mabao 2-0 katika mchezo wa kufungua pazia la ligi kuu ya Tanzania 2011/2012.
Ngao ileeeee.
Wachezaji na maafisa ya Simba.
Kulia ni Felix Sunzu akiwa na afisa wa Simba.
Kocha wa makipa, Idd Pazi, akiwa na wachezaji.
Nahodha wa Simba, Juma Kaseja, akiwa ameshikilia vizuri ngao yao.
Simba wakitoka bungeni.
Picha ya pamoja na waheshimiwa.
Kama kawa, sana tu.
Waziri wa ardhi, Mh.Anna Tibaijuka, akiwa na mbunge wa Tabora ambaye pia ni mwenyekiti wa simba, Mh.Aden Rage pamoja na wachezaji na maafisa wa simba.

No comments:

Post a Comment