Wednesday, June 6, 2012

WAZIRI MKUU WA UHOLANZI AKIWA NA USAFIRI WAKE WA BAISKELI:


Waziri mkuu wa Uholanzi, Mh.Mark Mutte, akirejea nyumbani kwake toka mzigoni (kazini) kwa kutumia usafiri wa injini kiuno (baiskeli) bila ya noma wala nini (sio kama hapa kwetu a.k.a BONGOLAND).

Salute kwako mheshimiwa PM.

No comments:

Post a Comment