Thursday, April 5, 2012

TWAZIDI SONGA MBELE KWENYE MOVIE PRODUCTION:

 Standby....
 Action.
 Seti seti makamera vizuri mtu mzima Zaky akikaguliwa na July Tax-The Director.
 Long shot kwa Carin.
Akisubiri Action ili ageuke.
 Mmmmhh, sana tu.
 Wamekutana, endelea kulalamika mkali Raph mpaka kinoge.

Close Up.
 Haya anza kuongea sasa.
 Chocstic.
 Chocbick.

 Chocolate.
Lolipop.
 Mtaalamu Zaky akisubiri jamaa wakariri script kwanza ili kazi isiharibike.
 Script ikipitiwa upya.
 Naam, sasa mambo yako byeee, mtoto Carin akiwa kwenye set.
 Unaogopa nini mamaaa, just relax.

 Yeeeyooo.
Usilie basi, hata kama unaumwa utapona tu.

Hasante sana "Kaka Mzazi" kwa kutupa Location safi kama hii.

No comments:

Post a Comment