Monday, April 2, 2012

MOVIE IKIENDELEA KUPIKWA, BONGE YA LOCATION NDANI YA MWANZA:

 Gerald Tito, akitest mwonekano wa location hiyo kwenye screen ya Camera.
 Zaky, mtaalamu wa picha akiwa yuko poa akisubiri muhusika akae kwenye set amtandike shots za kutosha, za adabu.
 Ras Jaffa a.k.a Paul katika picha hii akiwa kwenye set akisikiliza maelekezo toka kwa Director-July Tax.
 Kwa kazi.
 Mtoto Carin kwa mbaaali akija.
 Ngoja kwanza nimpigie shemeji yenu halafu ndiyo tuendelee.
 On camera set.
 Come baby come, am right here waiting for you.
 Uko wapi jamani...??
 Kashamwona.
 Mazungumzo kidogo.

 Close up.
 Cast za kike za kumwaga.
 Cast zikisubiri zamu yao ifike.
 Chezea sisi wewe, hapa kazi tu.
 Eenhee..!
Wacha weee..!!
 Caris Ze DressCode kwa snapshot, nikitokelezea
Cheki hii staili ya 'pekecha pekecha eeh' zote mtazikuta hizi kwenye movie hii. Get ready, kaa tayari.

No comments:

Post a Comment