Friday, March 30, 2012

MZIGO WA MOVIE UKIENDELEA KUANDALIWA:

 Sasa ni zamu ya Ze DressCode-Caris kung'aa kwenye kioo.
 Director-July Taxi akitoa maelekezo ya kuicheza scene hiyo.
 Kama kawa mzazi.
 Raphael Paul (Raph), Mwandishi wa stori ya movie hii akiwa kwenye camera set anakuja kwa mbali.
 Hapa tukakutana, tukaanza kuimba na kucheza. Kumpa dumpa kumpa benga niga---Full Ng'ai ng'ai.
Caris on set.
 Cameraman Zaky mzigoni.



Waleeeeee, tukasepa.

1 comment: